SokoHub tunaheshimu faragha yako. Sera hii inaeleza jinsi tunavyoshughulikia taarifa zako.
Tunapokusanya barua pepe (email) wakati wa kujisajili, tunaitumia kwa ajili ya utambulisho wako na usalama wa akaunti yako tu.
Website yetu inaweza kutumia 'cookies' ili kuboresha huduma na kukumbuka mapendekezo yako unapofanya utafutaji wa bidhaa.
SokoHub haiuzi wala kutoa taarifa zako za siri kwa makampuni ya nje kwa malengo ya kibiashara.
Tunaweza kutumia Google AdSense kuonyesha matangazo. Google anaweza kutumia data zako za kutembelea website mbalimbali ili kukupa matangazo yanayokufaa.