Sheria na Masharti ya SokoHub

Karibu SokoHub. Kwa kutumia website hii, unakubali kufuata sheria zifuatazo:

1. Matumizi ya Soko

SokoHub ni jukwaa la kuunganisha wauzaji na wanunuzi. Hatuhusiki moja kwa moja na malipo au usafirishaji wa bidhaa.

2. Bidhaa Zilizokatazwa

Ni marufuku kupost bidhaa haramu, silaha, dawa za kulevya, au bidhaa za kitapeli. Ukibainika, akaunti yako itafutwa mara moja.

3. Usalama wa Akaunti

Watumiaji wanawajibika kulinda nenosiri (password) zao. SokoHub haitahusika na upotevu wa data uliosababishwa na uzembe wa mtumiaji.

4. Marekebisho

SokoHub ina haki ya kubadilisha sheria hizi wakati wowote ili kuboresha huduma.


© 2026 SokoHub Tanzania - Email: nurdinhashim061@gmail.com

Rudi Nyumbani